By using this website, I acknowledge that I am 16 years of age or older, and I agree to the Terms and Conditions and Privacy Policy.
Under 16? Accept
Back
Videos
Podcasts
Reading Plan Downloads Classroom Beta Give
More
Karibu BibleProject

Jiunge na jarida letu ili upate video na taarifa mpya kuhusu lugha hii punde tu zinapotoka.

Video Maarufu
Muhtasari: Agano Jipya
Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2
Muhtasari: Mathayo 1-13
Injili ya Luka Sura ya 9-19
Injili ya Luka Sura ya 3-9
Dhamira yetu ni kusaidia watu kuelewa Biblia kama simulizi moja inayoongoza kwa Yesu.
Video zote

Tumejitolea kutafsiri maudhui yetu ili yapatikane katika lugha nyingi ili watu wote waweze kuelewa video zetu. Msururu wetu wa video za muhtasari na mabango hutoa muhtasari mzuri wa kila kitabu cha Biblia.

Pakua Mabango na Video
Agano la Kale
Mfululizo Mfupi wa Luka-Matendo
Agano Jipya
Agano la Kale
Video Zaidi
Mfululizo Mfupi wa Luka-Matendo
Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2
Injili ya Luka Sura ya 3-9
Injili ya Luka Sura ya 9-19
Injili ya Luka Sura ya 19-23
Luka Sura ya 24
Matendo Sura ya 1-7
Agano Jipya
Muhtasari: Agano Jipya
Muhtasari: Mathayo 1-13
Muhtasari: Mathayo 14-28
Muhtasari: Matendo 1-12
Muhtasari: Matendo 13-28
Muhtasari: Warumi 1-4
Muhtasari: Warumi 5-16
Muhtasari: 1 Wakorintho
Video Zaidi
Pakua Mabango na Video
Tumejitolea kutafsiri maudhui yetu ili yapatikane katika lugha nyingi ili watu wote waweze kuelewa video zetu. Msururu wetu wa video za muhtasari na mabango hutoa muhtasari mzuri wa kila kitabu cha Biblia.
Tazama Faili Zilizopakuliwa
Mipango yetu ya Kusoma inajumuisha video na muhtasari wenye busara ili kuhamasisha watu binafsi, vikundi vidogo, na familia kujifunza zaidi kuhusu Biblia.

Jiunge na BibleProject

Tunaamini simulizi ya Yesu ina uwezo wa kubadilisha mtu mmoja mmoja na jamii nzima. Kwa kufanya kazi na vikundi maalum ulimwenguni kote, tunaweza kuendelea kutengeneza video kuhusu vitabu vya Biblia, mada na maneno muhimu katika Maandiko yote kwa hadhira yetu inayokua.

Toa
Join Men
For advanced bible reading tools:
Login  or  Join